watu wa kwanza waliokuja kukaa marangu ni wataita.
baada ya kufika hao wengine wakaja kutoka ugweno,kahe na arusha chini.
wengi katika hao walikaa kilema na mamba,
lakini wachache walifata mto kimo na kuja kukaa marangu
wote walikuwa hawana mali, na wote walikaa hivi hivi mpaka wale waliokaa mshiri walijichagulia mkuu wao jina lake kilaweso.
labda kilaweso alikuwa mkuu wa wachagga,na kwa hivi tutaona jinsi alivyopata ukuu wake,na jinsi ukuu wake ulivyokwisha.
imehadithiwa ya kuwa siku moja kilaweso alimwua mtu mmoja aliyeua mtu mwingine mbele ya macho yake ,na kwa kuwa watu wote walikuwa wamwechoka kabisa na mauaji na fujofujo, walipendezwa na tendo lake,wakamfanya mwamuzi wao,wakampa ruhusa ya kuwaadhibu wahalifu wote katika nchi, na malipo yake walimwahidia kumjengea nyumba na kumlimia mashamba yake,
huu ndio mwanzo wa desturi waliyonayo wachagga ya kuwalimia na kuwajengea nyumba wakuu wao,
kilaweso alikuwa mwenye nguvu nyingi tena shujaa kama simba na kabla hazijapita siku nyingi aliiweka nchi ikae kwa taratibu

It was lovely, loving and lovable
ReplyDeleteA rose that loves me
The petals that opened up
And the honey that filled me With sweetness, with tenderness
And firmness of a beauty
So incredible
So adorable
So improbable
Is the Rose, that LoveS ME! It was Providence that gave it to me
The Divine conspiracy of love
A rose that smelled like no other rose
The scent of love loved
The sight of beauty beautified
So enjoyable So kissable
So memorable
Is the Rose, that LoveS ME
In my arms I can feel its tenderness
Its thorns are nothing but fondness
It remains in my heart The gift of natures Divine Loving
Tasting it is heavenly delight
So incredible
So adorable
So improbable
Is the Rose that LoveS ME!