watu waliokuja kukaa katika nchi ya kilema walitoka zaidi utaita,upare na ukamba; na kama zilivyokua pande nyngne hawakuanganika,ila walitawanyika wakakaa kila jamaa na mkuu wake,mpaka ngowi alipotoka marangu
huko kilema alifanya urafiki na moye mjukuu wa kinyaga aliyeuawa kwa amri ya lyimo,moye alimshauri ngowi achinje ng'ombe duwe 100 aliowapata kwa riwa wa marangu mwanawe na kuwafanyia karamu watu wa koo za kilema,kwa njia hii alijifanya apendwe na watu,na kwa kuwa waliyakumbuka yale yaliyowapata watu wa marangu walikuwa wamekwishajua faida ya kuwa na mkuu hivyo wakamchagua mremi mwana wa ngowi awe mkuu wao,
hivyo basi wakuu wa marangu na wale wa kilema ni wa ukoo mmoja.
Wakuu wote ila MOSHA aliyetawala sehemu ya juu ya kilema walimtii mremi na hata yeye alitiishwa baadaye akawa chini ya mremi.mremi alipokua mzee alimwachia ngowi mwanae ukuu.katika siku za ngowi paliondokea watu wengine waliokuja kukaa sango bondeni mwa mlima,na mkubwa wao ni kitangu,wageni hawa walikuwa watu wa vta kweli kweli,wakijilinda sana wasiingiliwe na ngowi,naye hakuweza kuwashinda,maana hakutawala siku nyingi akafa kabla ya mremi baba yake.
Iko hadithi ya kuwa ngowi alikufa kwa kuwa alitoa siri ya kutokewa na Mungu na kuamriwa kutawala kwa hekima na haki,alirithiwa utawala na nyange mwanawe,lakini hakuwa na nguvu wala uwezo wa kutawala,kabla siku nyingi kupita musuo mjomba wake alimwondoa katika utawala,lakini nyange alikimbilia mamba na kwa msaada wa soka mwanawe moye aliekuwa rafiki wa ngowi wa kwanza,alimwomba mafuluke mkuu wa mamba aje kumsaidia kumfukuza musuo,naye musuo alishindwa upesi sana akauawa vitani,sasa nyange akaurudia utawala,akatawala mpaka uzeeni,kisha akaiacha kazi ya utawala na Kombo mwanawe akaurithi utawala mahali pake.

kwa habari zaidi soma post mbili zifuatazo ambazo ni
ReplyDelete1.rongoma
2.vita baina ya wakuu rongoma na horombo
natumaini ni msaada kwa wananchi wote wa kilema hasa wale wanaovutiwa kuijua asili yao.
well done bro n try to publish them as soon as inavyowezekana!
ReplyDeletea lot of thanks kwako kwa kupost hizi article ambazo ni muhimu sana kwetu na pia wale wote wapendao historia na asili zao
ReplyDeletepost hii imenisaidia mambo mawili makubwa nayo ni.
1.wachaga kwa asili sio watu wa kabila moja,ndio maana hawana lugha moja japokuwa wanaelewana kwa kiasi fulana hasa kutokana na sababu kuwa wamekaa pamoja kwa takriban miongo kadhaa sasa.
2.inawezekana kuishi pamoja kwa amani, interaction na mapatano hata baada ya vita mbalimbali baina ya wakuu wa milki za uchagani
kwa kusema hayo naomba kuwasilisha shukran zangu za dhati
kwako mwandishi
asante.